Leo ni siku spesheli ya kuadhimisha na kusherekea lugha ya kiswahili duniani.
Terehe saba mwezi wa saba, kila mwaka, huwa ni siku ya kupigia upatu hii lugha. Baadhi ya maafikio na mafanikio bora ya hii lugha ni kuwa imeidhinishwa na muungano wa Umoja wa Mataifa (UN) kuwa lugha mojawapo ya kutumika katika mikutano rasmi. Vile vile, kimekuwa lugha rasmi katika mataifa ya Kenya na Tanzania.
Tuzungumze, tukikuze kiswahili.
Katika jitihada zetu na kukikuza kiswahili, twakuuliza utupe majina rasmi ya: –
(kwenye picha)
Mshindi atajishindia mjazo wa simu (Airtime) ya dhamana ya ksh. 100; ima Airtel, Safaricom au Telkom.
6 comments
Sio hapa Facebook
Yap
A ..visor ya gari.
B….pojo
I think i was the winner
Absolutely. Share your contact and congratulations.
1,Visorjua
2,ndengu ama ponjo.